sw_tn/psa/137/003.md

12 lines
335 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# waliotuchukua mateka walitaka nyimbo kutoka kwetu
Hapa "nyimbo" inaashiria vitendo vya kuimba. "waliotuchukua mateka walitaka tuimbe"
# walitaka tuwe na furaha
"walitufanya tujifanye kana kwamba tuna furaha"
# moja ya nyimbo za Sayuni
Hii inaweza kumaanisha nyimbo ambazo Waisraeli walitumia katika kuabudu hekaluni Yerusalemu.