# waliotuchukua mateka walitaka nyimbo kutoka kwetu Hapa "nyimbo" inaashiria vitendo vya kuimba. "waliotuchukua mateka walitaka tuimbe" # walitaka tuwe na furaha "walitufanya tujifanye kana kwamba tuna furaha" # moja ya nyimbo za Sayuni Hii inaweza kumaanisha nyimbo ambazo Waisraeli walitumia katika kuabudu hekaluni Yerusalemu.