sw_tn/psa/121/003.md

28 lines
969 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Hapa ni uhamisho kwenda katika hali ya mtu wa pili. Hii inaweza kumaanisha 1) mwandishi anaanza kuzungumza na wtu wa Israeli au 2) mwandishi anamnukuu mtu mwingine akizungumza na mwandishi.
# mguu wako kuteleza
Kuteleza kwa mguu kunahusishwa na kuanguka. "wewe kuanguka"
# yeye anayekulinda ... mlinzi
Misemo hii miwli inamaana kitu kimoja, na inasisitiza nafasi ya Mungu kama mlinzi.
# yeye anayekulinda hatalala
Hapa "kulala" inamaanisha kuacha kulinda. Hali yake hasi inaimarisha msemo. "Mungu hatalala na kuacha kuwalinda" au " Mungu atawalinda daima"
# hatalala ... huwa halali wala kusinzia
Misemo hii miwli inamaana sawa. Msemo wa pili unaimarisha wazo la kwanza.
# Tazama
Neno hili linatufanya kuzingatia kwa makini taarifa zinazofuata.
# huwa halali wala kusinzia
Mananeo haya mawili yana maana sawa. Hapa "kulala" inamaana kuacha kulinda. Hali yake hasi inaimarisha msemo. "hatalala na kuacha kuwalinda" au "atawalinda daima"