sw_tn/psa/119/039.md

24 lines
647 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ninayo hofu
"ninaogopa sana"
# hukumu zako za haki ni nzuri
Mungu anahukumu kwa haki na maamuzi yake ni mema. "Hukumu yako ni ya haki na njema"
# Tazama
Hii ni lahaja. Hapa "Tazama" inamaanisha kuwa na ufahamu kuhusu jambo. Panapo lengwa ni maarifa na uelewa, na sio tu kutazama.
# Nina shauku na maagizo yako
Maana zinazowezekana ni 1) "Ninataka sana kujua maagizo yako" au 2) "Ninataka sana kutii kile unachotufundisha kufanya"
# nifufue katika haki yako
Neno "haki" ni nomino dhahania na inamaanisha kuwa mwenye haki. "nifufue kwa kuwa una haki"
# nifufue
Maana zinazowezekana ni 1) "Niweke kuwa hai" au 2) "Nifanye kuwa na nguvu"