sw_tn/psa/119/003.md

20 lines
559 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Sehemu kubwa ya zaburi hii inaelekezwa kwa Mungu, na maneno "wewe" na "zako" mara nyingi zinamaanisha yeye.
# Hawafanyi kosa
Hawamkaidi Yahwe
# wanatembea katika njia zake
"wanatembea katika njia za Yahwe." Hapa tabia yao inazungumziwa kama "kutembea," na jinsi Mungu anavyoteka waenende inazungumziwa kama "njia zake." "wanaenenda kama Yahwe anavyotaka waenende"
# kutunza maagizo wako
"kutii vitu vyote ambavyo umesema tunapaswa kufanya"
# tuziangalie kwa uangalifu
Hii ni kujua kwa umakni na kuelewa amri na kuzitii hizo amri.