# Taarifa ya Jumla: Sehemu kubwa ya zaburi hii inaelekezwa kwa Mungu, na maneno "wewe" na "zako" mara nyingi zinamaanisha yeye. # Hawafanyi kosa Hawamkaidi Yahwe # wanatembea katika njia zake "wanatembea katika njia za Yahwe." Hapa tabia yao inazungumziwa kama "kutembea," na jinsi Mungu anavyoteka waenende inazungumziwa kama "njia zake." "wanaenenda kama Yahwe anavyotaka waenende" # kutunza maagizo wako "kutii vitu vyote ambavyo umesema tunapaswa kufanya" # tuziangalie kwa uangalifu Hii ni kujua kwa umakni na kuelewa amri na kuzitii hizo amri.