sw_tn/psa/118/019.md

16 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nifungulie malango ya haki
Nifungulie malango ambayo watu wenye haki hupita." Hii inamaanisha malango ya hekalu, na mwandishi anawaambia walinzi wa malango. "Nifungulieni malango ya hekalu"
# lango la Yahwe
"lango unaowaongoza watu kuelekea katika uwepo wa Yahwe " au "lango la Yahwe"
# nitatoa shukrani kwako
Hapa mwandishi anaanza kuzungumza na Yahwe.
# umekuwa wokovu wangu
"uliniokoa"