# Nifungulie malango ya haki Nifungulie malango ambayo watu wenye haki hupita." Hii inamaanisha malango ya hekalu, na mwandishi anawaambia walinzi wa malango. "Nifungulieni malango ya hekalu" # lango la Yahwe "lango unaowaongoza watu kuelekea katika uwepo wa Yahwe " au "lango la Yahwe" # nitatoa shukrani kwako Hapa mwandishi anaanza kuzungumza na Yahwe. # umekuwa wokovu wangu "uliniokoa"