sw_tn/psa/116/003.md

20 lines
571 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taaarifa ya Jumla:
Mtu aliyetunga zaburi hii anaendelea kuzungumza.
# Kamba za kifo zilinizunguka
Mwandishi anazungumzia kifo kanakwambani mtu anayeweza kumshika na kumfunga kwa kamba. "Nilihisa kama nataka kufa"
# mitego ya kuzimu ilinikabili
Mwandishi anazungumzia "kuzimu," mahali pa wafu, kana kwambani mtu anayeweza kumtega kwamitego. "Nilihisi kama niko tayari kuingia kaburini"
# nikalita jina la Yahwe
Hapa neno "jina" linaashiria Yahwe mwenyewe. "nikamwita Yahwe"
# okoa maisha yangu
Hapa neno "maisha" linaashiria mtu. "niokoe" au "niepushe na kufa"