# Taaarifa ya Jumla: Mtu aliyetunga zaburi hii anaendelea kuzungumza. # Kamba za kifo zilinizunguka Mwandishi anazungumzia kifo kanakwambani mtu anayeweza kumshika na kumfunga kwa kamba. "Nilihisa kama nataka kufa" # mitego ya kuzimu ilinikabili Mwandishi anazungumzia "kuzimu," mahali pa wafu, kana kwambani mtu anayeweza kumtega kwamitego. "Nilihisi kama niko tayari kuingia kaburini" # nikalita jina la Yahwe Hapa neno "jina" linaashiria Yahwe mwenyewe. "nikamwita Yahwe" # okoa maisha yangu Hapa neno "maisha" linaashiria mtu. "niokoe" au "niepushe na kufa"