sw_tn/psa/103/017.md

24 lines
607 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni kutoka milele mpaka milele
Hii ina maana ya kwamba upendo wa Yahwe huendelea milele. "utaendelea milele"
# vizazi vyao
"vizazi vya wale ambao humuinua yeye"
# Wanashika agano lake na kukumbuka kutii maelekezo yake
Misemo hii miwili ina maana za kufanana.
# Yahwe ameimarisha kiti chake cha enzi katika mbingu
Hapa utawala wa Yahwe kama mfalme unamaanishwa kama "kiti chake cha enzi". "Yahwe amechukua kiti chake katika mbingu ambapo hutawala kama mfalme"
# ameimarisha
"alifanya"
# ufalme wake hutawala
Hapa Yahwe anaelezwa kuwa "ufalme wake" kusisitiza mamlaka yake kama mfalme. "hutawala"