sw_tn/psa/092/008.md

20 lines
287 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hakika, watazame adui zako, Yahwe
Maandishi mengi hayana maneno haya.
# Wataangamia
"Watakufa" au "Utawaua"
# Wale wote wanaofanya maovu watatawanywa
"utawatawanya wote wanaofanya uovu"
# watatawanywa
Maandishi mengi yameandikwa, "wametawanywa."
# watatawanywa
"wataondolewa"