# Hakika, watazame adui zako, Yahwe Maandishi mengi hayana maneno haya. # Wataangamia "Watakufa" au "Utawaua" # Wale wote wanaofanya maovu watatawanywa "utawatawanya wote wanaofanya uovu" # watatawanywa Maandishi mengi yameandikwa, "wametawanywa." # watatawanywa "wataondolewa"