sw_tn/psa/078/067.md

24 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli.
# hema la Yusufu
"uzao wa Yusufu"
# Yusufu ... Efraimu
Efraimu alikuwa mwana wa Yusufu.
# Yuda ... mlima Sayuni
Mlima Sayuni ulikuwa katika nchi ambayo kabila la Yuda lilikuwa.
# kama mbingu
"juu, kama mbingu"
# kama dunia
"thabiti na imara, kama dunia"