# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli. # hema la Yusufu "uzao wa Yusufu" # Yusufu ... Efraimu Efraimu alikuwa mwana wa Yusufu. # Yuda ... mlima Sayuni Mlima Sayuni ulikuwa katika nchi ambayo kabila la Yuda lilikuwa. # kama mbingu "juu, kama mbingu" # kama dunia "thabiti na imara, kama dunia"