sw_tn/psa/078/058.md

8 lines
230 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli.
# walimkasirisha na sehemu zao za juu na kumchokoza na wivu wa hasira kwa sanamu zao
Misemo hii miwli ina maana za kukaribiana.