# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli. # walimkasirisha na sehemu zao za juu na kumchokoza na wivu wa hasira kwa sanamu zao Misemo hii miwli ina maana za kukaribiana.