sw_tn/psa/073/004.md

12 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Asafu anaanza kueleza ambavyo wakati mwingine anataka kulalamika kwa Mungu kuhusu wale ambao wana "kiburi" na "waovu".
# mizigo ya watu wengine
Neno "mizigo" ni njia nyingine ya kusema mahangaiko ya maisha ya kila siku (hitaji la chakula, pango, nguo, na afya)
# hawateswi kama wanaume wengine
"hawateseki kama watu wengine wanavyoteseka"