# Taarifa ya Jumla: Asafu anaanza kueleza ambavyo wakati mwingine anataka kulalamika kwa Mungu kuhusu wale ambao wana "kiburi" na "waovu". # mizigo ya watu wengine Neno "mizigo" ni njia nyingine ya kusema mahangaiko ya maisha ya kila siku (hitaji la chakula, pango, nguo, na afya) # hawateswi kama wanaume wengine "hawateseki kama watu wengine wanavyoteseka"