sw_tn/psa/063/007.md

12 lines
358 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitafurahi katika kivuli cha mbawa zako
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni ndege anayelinda makinda yake chini ya mbawa zake. "ninafurahi kwa sababu unanilinda"
# Nang'ang'ania kwako
"Ninakuhitaji" au "Ninakutegemea"
# mkon wako wa kuume unanibeba
Hapa, mkono wa kuume unatumika kama ishara ya nguvu na uwezo. "unanibeba" au "unaniinua juu"