# nitafurahi katika kivuli cha mbawa zako Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni ndege anayelinda makinda yake chini ya mbawa zake. "ninafurahi kwa sababu unanilinda" # Nang'ang'ania kwako "Ninakuhitaji" au "Ninakutegemea" # mkon wako wa kuume unanibeba Hapa, mkono wa kuume unatumika kama ishara ya nguvu na uwezo. "unanibeba" au "unaniinua juu"