sw_tn/psa/043/005.md

16 lines
565 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini umeinama chini , nafsi yangu? Kwa nini umekasirika ndani yangu?
Mwandishi anaelezea uwepo wake wa ndani kama "nafsi" yake. Anauliza maswali haya kujikemea mwenyewe. "Sitakiwi kuinama chini. Sitakiwi kuwa na wasiwasi"
# umeinama chini
Mwandishi anazungumzia huzuni au kukata tamaa kana kwamba nafsi yake imeinama.
# Mtumaini Mungu
Mwandishi anaendelea kuzungumza na nafsi yake na kuiamuru kumtumaini Mungu.
# wokovu wangu na Mungu wangu
Msemo "wokovu wangu" inamaanisha Mungu. Ikibidi, misemo miwili inaweza kuunganishwa. "Mungu wangu anayeniokoa"