# Kwa nini umeinama chini , nafsi yangu? Kwa nini umekasirika ndani yangu? Mwandishi anaelezea uwepo wake wa ndani kama "nafsi" yake. Anauliza maswali haya kujikemea mwenyewe. "Sitakiwi kuinama chini. Sitakiwi kuwa na wasiwasi" # umeinama chini Mwandishi anazungumzia huzuni au kukata tamaa kana kwamba nafsi yake imeinama. # Mtumaini Mungu Mwandishi anaendelea kuzungumza na nafsi yake na kuiamuru kumtumaini Mungu. # wokovu wangu na Mungu wangu Msemo "wokovu wangu" inamaanisha Mungu. Ikibidi, misemo miwili inaweza kuunganishwa. "Mungu wangu anayeniokoa"