sw_tn/psa/038/021.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Usiniache ... usikae mbali na mimi
Misemo hii miwili ina maana za kufanana sana.
# usikae mbali na mimi
Kwa sababu Yahwe bado hajajibu ombi la mwandishi, anamzungumzia Yahwe kana kwamba yahwe alikuwa amesimama mbali na mwandishi.
# Njoo upesi kunisaidia
Mungu anazungumziwa kana kwamba anakimbia kwenda kwa mwandishi kumsaidia.
# wokovu wangu
"wewe ndiye unayeniokoa"