# Usiniache ... usikae mbali na mimi Misemo hii miwili ina maana za kufanana sana. # usikae mbali na mimi Kwa sababu Yahwe bado hajajibu ombi la mwandishi, anamzungumzia Yahwe kana kwamba yahwe alikuwa amesimama mbali na mwandishi. # Njoo upesi kunisaidia Mungu anazungumziwa kana kwamba anakimbia kwenda kwa mwandishi kumsaidia. # wokovu wangu "wewe ndiye unayeniokoa"