sw_tn/psa/037/028.md

28 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wanatunzwa milele
"Yahwe atawalinda milele"
# watakatwa
Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa tawi la mmea uliokatwa na kutupwa.
# wenye haki
"watu wenye haki"
# watarithi nchi
Umiliki wa nchi unazungumziwa kana kwamba umepokelewa kama urithi. "watapokea nchi kama urithi wao" au "wataruhusiwa kuishi katika nchi kwa usalama"
# Mdomo wa mtu mwenye haki
Hapa "mdomo" unawakilisha mtu mzima anayezungumza. "Mtu mwenye haki"
# huzungumza hekima
"huwapa wengine ushauri wa hekima"
# huongeza hukumu
"huwatia moyo watu wengine kuishi kwa haki"