# Wanatunzwa milele "Yahwe atawalinda milele" # watakatwa Uharibifu wa waovu unazungumziwa kana kwamba walikuwa tawi la mmea uliokatwa na kutupwa. # wenye haki "watu wenye haki" # watarithi nchi Umiliki wa nchi unazungumziwa kana kwamba umepokelewa kama urithi. "watapokea nchi kama urithi wao" au "wataruhusiwa kuishi katika nchi kwa usalama" # Mdomo wa mtu mwenye haki Hapa "mdomo" unawakilisha mtu mzima anayezungumza. "Mtu mwenye haki" # huzungumza hekima "huwapa wengine ushauri wa hekima" # huongeza hukumu "huwatia moyo watu wengine kuishi kwa haki"