sw_tn/psa/032/003.md

24 lines
786 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mifupa yangu ilikuwa inachakaa
Hapa "mifupa yangu" inamaanisha mwandishi. "nilikuwa nachakaa" au "nilikuwa nakuwa mdhaifu"
# siku nzima
Lahaja hii inamaanisha "endelevu." "wakati wote"
# mchana na usiku
Tofauti hizi zinajumlisha kila kitu katikati. "wakati wote"
# mkono wako ulikuwa mzito juu yangu
Hapa "mkono" inamaanisha Yahwe. Msemo wote ni lahaja inayomaanisha "umenitesa." "umenifanya niteseke sana"
# Nguvu yangu ilinyauka kama kwenye ukame wa majira ya joto
Nguvu ya Daudi inalinganishwa na mmea mdogo wa kijani unaogeuka kuwa wa rangi ya kahawia na kuanguka katika majira ya kiangazi.
# Sela
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kihebrabia, na zingine haziliweki.