sw_tn/psa/027/009.md

28 lines
828 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Usiufiche uso wako kwangu
Uso unawakilisha usikivu wa Yahwe. Msemo "Usiufiche uso wako" ni njia kumwomba Mungu asimkatae. "Usinikatae" au "Usiache kunitunza"
# usimgeuza mtumishi wako kwa hasira
Daudi alisema "mtumishi wako" kumaanisha ni yeye mwenywe kwa njia ya unyenyekevu. "usinikasirikie"
# usiniache wala kunitupa
Maneno "kuacha" na "kutupa" yana maana sawa. Mwandishi anasisitiza kuwa hataki Mungu amuache.
# wala kunitupa
"na usinitupe" au "na usiniache"
# Mungu wa wokovu wangu
Nomino dhahania ya "wokovu" inaweza kuelezwa kama "okoa." "Mungu anayeniokoa" au "kwa kuwa wewe ni Mungu unayeniokoa"
# Hata kama baba na mama yangu wakiniacha
Hasemi kuwa kweli wamefanya hivi au kwamba watafanya hivi. Wazo lake ni kwamba hata kama wangefanya hivyo, Mungu asingemuacha.
# Yahwe atanichukua
"Yahwe atanitunza"