sw_tn/psa/021/011.md

24 lines
543 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walikusudi
"walipanga." Waliopanga ni adui wa Mungu na mfalme.
# maovu dhidi yako
"kufanya vitu viovu"
# wakatunga njama
"wakafanya mpango" au "wakiunda hila"
# Kwa kuwa utawageuza; utachukua upinde wako mbele yao
Maana zinazowezekana za anaye zungumziwa ni 1) mfalme au ni 2) Mungu na zinamzungumzia kana kwamba alikuwa ni shujaa mwenye upinde na mishale.
# utawageuza
Hii ni njia ya kusema kuwa Mungu na mfalme watawashinda adui zao vitani.
# utachukua upinde wako mbele yao
Hii inaashiria kuwa anawapiga adui zake kwa mishale.