sw_tn/psa/021/007.md

20 lines
592 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika uaminifu wa agano la aliye juu
"kwa kuwa aliye juu ni mwaminifu kwa agano lake"
# hatasogezwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "hakuna mtu atakaye msogeza kama mfalme"
# Mkono wako utakamata
Hapa "mkono" unaashiria nguvu. "Nguvu yako itakamta" au "Utawakamata kwa nguvu"
# Mkono wako ... unachukia
Maana zinazowezekana za anaye zungumziwa ni 1) mfalme au zinamaanisha ni 2) Mungu.
# Mkono wako wa kuume utawakamata wale wanaokuchukia
Hii inamaanisha kitu sawa kama sehemu ya kwanza ya sentensi. Inawekamkazo kuwa Mungu atampa mfalme uwezo wa kuwazuia adui zake.