# katika uaminifu wa agano la aliye juu "kwa kuwa aliye juu ni mwaminifu kwa agano lake" # hatasogezwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "hakuna mtu atakaye msogeza kama mfalme" # Mkono wako utakamata Hapa "mkono" unaashiria nguvu. "Nguvu yako itakamta" au "Utawakamata kwa nguvu" # Mkono wako ... unachukia Maana zinazowezekana za anaye zungumziwa ni 1) mfalme au zinamaanisha ni 2) Mungu. # Mkono wako wa kuume utawakamata wale wanaokuchukia Hii inamaanisha kitu sawa kama sehemu ya kwanza ya sentensi. Inawekamkazo kuwa Mungu atampa mfalme uwezo wa kuwazuia adui zake.