sw_tn/psa/018/027.md

16 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unawaleta chini
"unawanyenyekesha"
# wenye macho ya majivuno yaliyoinuka
lahaja hii inaashiria wale walio na majivuno. "wenye majivuno"
# Kwa kuwa unaipa nuru taa yangu; Yahwe Mungu wangu huipa nuru giza langu
Mwandishi anazungumzia uwepo wa Yahwe kana kwamba alikuwa nuru. Vishazi hivi vina maana ya kukaribiana.
# Kwako ninaweza kuruka kizuizi
"Kwa msaada wako ninaweza kuvuka kikwazo chochote"