# unawaleta chini "unawanyenyekesha" # wenye macho ya majivuno yaliyoinuka lahaja hii inaashiria wale walio na majivuno. "wenye majivuno" # Kwa kuwa unaipa nuru taa yangu; Yahwe Mungu wangu huipa nuru giza langu Mwandishi anazungumzia uwepo wa Yahwe kana kwamba alikuwa nuru. Vishazi hivi vina maana ya kukaribiana. # Kwako ninaweza kuruka kizuizi "Kwa msaada wako ninaweza kuvuka kikwazo chochote"