sw_tn/psa/005/011.md

20 lines
686 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wote wanaokukimbilia wafurahi
Mungu anazungumziwa kana kwamba ni kambi, sehemu ambayo watu wanaweza kulindwa. "Wote wanaokuja kwako kwa ulinzi wafurahi"
# wote wanaokukimbilia wafurahi ... wapige kelele za shangwe kwa sababu unawalinda
Vishazi hivi viwili vina wazo la kufanana.
# wanaokukimbilia
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi kunazungumziwa kama kumkimbilia yeye. "kwenda kwako kwa ulinzi"
# wale wanaolipenda jina lako
Jina la Mungu linamwakilisha yeye. "wale wanaokupenda"
# utawazunguka na fadhila kama ngao
Fadhila za Mungu zinazungumziwa kama ngao. "utawaonesha fadhila na kuwalinda kama askari wanavyojilina kwa ngao" au "kwa sababu u mkarimu kwao, utawalinda"