sw_tn/pro/31/26.md

20 lines
345 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hufumbua kinywa chake kwa ahekima
"hunena kwa busara"
# sheria ya ukarimu ipo kwenye ulimi wake
"huwafundisha watu kuwa na ukarimu"
# huangalia njia za nyumba yake
"huhakikisha kuwa familia yake yote inaishi katika njia ambayo inampendeza Mungu"
# hawezi kula mkate wa uvivu
"siyo mvivu "
# uvivu
kutofanya kazi yoyote na kuwa mzembe