# hufumbua kinywa chake kwa ahekima "hunena kwa busara" # sheria ya ukarimu ipo kwenye ulimi wake "huwafundisha watu kuwa na ukarimu" # huangalia njia za nyumba yake "huhakikisha kuwa familia yake yote inaishi katika njia ambayo inampendeza Mungu" # hawezi kula mkate wa uvivu "siyo mvivu " # uvivu kutofanya kazi yoyote na kuwa mzembe