sw_tn/pro/30/13.md

12 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# macho yao yameinuka...kope zao zimeinuka juu
watu ambao hudhani kuwa wao ni bora kuliko watu wengine.
# kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na taya zao ni visu, hivyo wanaweza kuwararua maskini ...na wahitaji
Watu wa kizazi ambao huongea vitu vibaya sana ,wanaongelewa mithili ya wanyama mwitu...wanawala maskini na wahitaji
# taya
mifupa ya usoni ambapo meno huota