# macho yao yameinuka...kope zao zimeinuka juu watu ambao hudhani kuwa wao ni bora kuliko watu wengine. # kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na taya zao ni visu, hivyo wanaweza kuwararua maskini ...na wahitaji Watu wa kizazi ambao huongea vitu vibaya sana ,wanaongelewa mithili ya wanyama mwitu...wanawala maskini na wahitaji # taya mifupa ya usoni ambapo meno huota