sw_tn/pro/29/21.md

20 lines
337 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambaye humdekeza mtumwa wake
"ambaye huruhusu mtumwa wake kuacha kazi na hutendea vema mtumwa wake kuliko watumwa wengine"
# mwisho wake
"mtumwa anapokua"
# kutakuwa na taabu
mtumwa atakuwa mtu dhaifu
# huchochea ugomvi
"husababisha mabishano zaidi kwa watu" Angalia 15:17
# bwana wa ghadhabu
"mtu ambaye hupata hasira upesi"