# ambaye humdekeza mtumwa wake "ambaye huruhusu mtumwa wake kuacha kazi na hutendea vema mtumwa wake kuliko watumwa wengine" # mwisho wake "mtumwa anapokua" # kutakuwa na taabu mtumwa atakuwa mtu dhaifu # huchochea ugomvi "husababisha mabishano zaidi kwa watu" Angalia 15:17 # bwana wa ghadhabu "mtu ambaye hupata hasira upesi"