sw_tn/pro/29/05.md

12 lines
286 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# humsifu jirani yake
humwambia jirani yake mambo ya uongo ili afanye makosa
# hutandaza mtego katika miguu yake
"hutega mtego kumnasa mtu huyo"
# katika dhambi ya mtu mwovu kuna mtego
Hutamani kufanya mabaya kwa watu wengine, lakini Mungu atayatumia matendo yake hayo kumwadhibu.