# humsifu jirani yake humwambia jirani yake mambo ya uongo ili afanye makosa # hutandaza mtego katika miguu yake "hutega mtego kumnasa mtu huyo" # katika dhambi ya mtu mwovu kuna mtego Hutamani kufanya mabaya kwa watu wengine, lakini Mungu atayatumia matendo yake hayo kumwadhibu.