sw_tn/pro/28/23.md

28 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye amwadibishaye mtu, baadaye atapata kibali kutoka kwake kuliko yule ambaye humsifu kwa ulimi wake
"mtu atakuwa mwenye fadhila kwe aliyemwadibisha kuliko mtu mwenye kumsifu kwa ulimi wake"
# yeye amwadibishaye
"kama mtu anaadibisha"
# humsifu kwa ulimi wake
"humsifu kwa maneno"
# humsifu
kumtukuza mtu kwa namna ambayeo si ya kweli. au kumsifu mtu kwa mambo ambayo si ya kweli
# yeye aibaye
"mtu anayeiba"
# na husema, "Hiyo si dhambi,"
"na kusema hiyo siyo dhambi"
# rafiki wa
"ni mtu wa aina ya "