# yeye amwadibishaye mtu, baadaye atapata kibali kutoka kwake kuliko yule ambaye humsifu kwa ulimi wake "mtu atakuwa mwenye fadhila kwe aliyemwadibisha kuliko mtu mwenye kumsifu kwa ulimi wake" # yeye amwadibishaye "kama mtu anaadibisha" # humsifu kwa ulimi wake "humsifu kwa maneno" # humsifu kumtukuza mtu kwa namna ambayeo si ya kweli. au kumsifu mtu kwa mambo ambayo si ya kweli # yeye aibaye "mtu anayeiba" # na husema, "Hiyo si dhambi," "na kusema hiyo siyo dhambi" # rafiki wa "ni mtu wa aina ya "