sw_tn/pro/27/07.md

16 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu aliyekula na kushiba
"mtu aliyetosheka" au "mtu aliyekula kiasi cha kushiba"
# hukataa hata sega la asali
Sega la asali lingetamanisha, lakini si kwa mtu ambaye tayari amekwisha kula na kushiba.
# kila kitu kichungu ni kitamu
"kila kitu chenye ladha ya uchungu ni kitamu kwa kuonja"
# kama ndege ambaye hutanga tanga kutoka kwenye kiote chake ndiyo alivyo mtu ambaye hupotea ambapo anaishi
"kutanga tanga" na "kupotea" maana yake ni moja kwenye mstari huu