# mtu aliyekula na kushiba "mtu aliyetosheka" au "mtu aliyekula kiasi cha kushiba" # hukataa hata sega la asali Sega la asali lingetamanisha, lakini si kwa mtu ambaye tayari amekwisha kula na kushiba. # kila kitu kichungu ni kitamu "kila kitu chenye ladha ya uchungu ni kitamu kwa kuonja" # kama ndege ambaye hutanga tanga kutoka kwenye kiote chake ndiyo alivyo mtu ambaye hupotea ambapo anaishi "kutanga tanga" na "kupotea" maana yake ni moja kwenye mstari huu