sw_tn/pro/26/27.md

20 lines
592 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# achmbaye shimo atatumbukia ndani yake
"Achimbaye shimo kumtega mtu mwingine atatumbukia mwenyewe"
# jiwe litaviringika kurudi kwake yeye anayelisukuma
"mtu akisukuma jiwe ili liviringike chini ya kilima na kumgonga mtu, badala yake jiwe litamrudia yeye"
# ulimi udanganyao huwachukia watu unaowajeruhi
"mwogo huwachukia wale ambao huwaumiza kwa uongo wake"
# Kinywa chenye kusifia huleta uharibigu
mtu ambaye huwasifu wengine huleta taabu au mtu ambaye huwasifu wengine huababisha uharibifu juu yao
# kusifia
tukuza mtu kwa namna isiyofa, kumsifu mtu kwa mambo ambayo si ya kweli