# achmbaye shimo atatumbukia ndani yake "Achimbaye shimo kumtega mtu mwingine atatumbukia mwenyewe" # jiwe litaviringika kurudi kwake yeye anayelisukuma "mtu akisukuma jiwe ili liviringike chini ya kilima na kumgonga mtu, badala yake jiwe litamrudia yeye" # ulimi udanganyao huwachukia watu unaowajeruhi "mwogo huwachukia wale ambao huwaumiza kwa uongo wake" # Kinywa chenye kusifia huleta uharibigu mtu ambaye huwasifu wengine huleta taabu au mtu ambaye huwasifu wengine huababisha uharibifu juu yao # kusifia tukuza mtu kwa namna isiyofa, kumsifu mtu kwa mambo ambayo si ya kweli