sw_tn/pro/26/13.md

16 lines
477 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu mvivu husema , "kuna simba ....katikati ya njia kuu!"
Mtu mvivu hulala na husema kwamb hawezi kwenda nje na kufanya kazi kwa sababu kuna simba njiani au katikati ya njia kuu.
# kuna simba njiani
angalia 22:13
# bawaba
vipande vya chuma ambavyo huubana mlango kwenye ubao au kitu kingine ili kuweza kufunguka na kufanga
# Kama mlango unavyorudi kwenye bawaba zake, ndivy o alivyo mtu mvivu juu ya kitanda chake
Mlango na mtu mvivu huzunguka lakini hawaendi popote.